SOMO # 12 TUNAPOELEKEA KUUMALIZA MWAKA HUU 2022 KWA HIZI SIKU CHACHE ZILIZOBAKI NAOMBA UJITAFAKARI KWA UAMINIFU KUPITIA HAYA MAMBO NILIYOYAANDIKA. 1. Hebu fikiria umesafiri mara ngapi huu mwaka au toka umeanza kusafiri na miaka iliyopita Mungu amekuepusha na ajali ngapi hata zingine bila ya wewe kujua?Na mpaka sasa upo mzima hata kama ulishawahi kupata ajali. Je! Unajua Mungu anamakusudi gani na wewe katika maisha yako mpaka sasa upo mzima?. Je? Unafikiri amekuepusha na haya kwa ajili ya matendo yako ni mazuri sana au kuna kitu ulimpa ili akulinde?. TAMBUA KWAMBA HIYO NI NEEMA NA REHEMA ZA MUNGU KWAKO, USIJISIFU NI MUNGU ANAKUWAZIA MAWAZO YALIYO MEMA SIKU ZOTE WALA SIO MABAYA (Yeremi 29:11- Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho). 2. Hebu fikiria ulitegewa mitego mara ngapi (kwenye chakula, maji, njiani/barabarani,ofisini,biashara n.k) na adui hata bila ya wewe kujua na Mun...
Machapisho
Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba, 2022