SOMO # 18: SOMO: ITAMBUE MAANA HALISI YA KUMPENDA MUNGU Utangulizi: Watu wengi sana wamekuwa wakisema wanampenda Mungu lakini ukiangalia uhalisia wa maisha wanayoyaishi na wanachokiongea inakuwa ni tofauti kabisa. Mtu anasema anampenda/anamheshimu Mungu lakini ukiingalia moyo wake upo mbali naye kutokana na matendo mabaya anayoyatenda kama ilivyoandikwa katika kitabu cha MATHAYO 15:8-9 kwamba; 8. Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali name, 9. Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu. Vile vile imeandikwa katika kitabu cha ISAYA 23:13-15 kwamba; 13. Bwana akanena, Kwa kuwa watu hawa hunikaribia na kuniheshimu kwa vinywa vyao, bali mioyo yao wamefarakana nami, na kicho chao walicho nacho kwangu ni maagizo ya wanadamu waliyofundishwa; 14. kwa sababu hiyo mimi nitafanya tena kazi ya ajabu kati ya watu hawa, kazi ya ajabu na mwujiza; na akili za watu wao wenye akili zitapotea, na ufahamu wa wenye busara wao utafichwa. 15. Ole wao...
Machapisho
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
SOMO # 13: FURAHA ISIYO NA UKOMO Heri ya mwaka mpya Wapendwa! Wapendwa siku zote katika Maisha haya tunayoishi hapa duniani wakati mwingine huwa tunapitia changamoto nyingi sana mpaka zinapelekea kukosa furaha kwa kipindi furani, baada ya kusahau furaha hurudi tena. Lakini siku ya leo Mungu anatuambia katika kitabu cha 1 Wathesalonike 5:16 kwamba;- Furahini siku zote . Neno hilo ‘Furahini siku zote’ lina maana kubwa sana katika Maisha yetu endapo kama tutalichukulia kwa uzito mkubwa sana. Mungu kusema hivyo sio kwamba hajui kama huwa wakati mwingine tunapata changamoto ambazo zinatuondolea furaha. Lakini Yeye anatamani tuzichukulie hizo changamoto kama ni sehemu ya Maisha kwani huwa zinamwisho kwahiyo zisituondolee furaha ndani ya mioyo yetu. Mpendwa tambua kwamba Unapokuwa na Yesu kisawasawa ndani yako na ukapata changamoto inatakiwa usiiangalie hiyo changamoto maana itakuondolea furaha bali mwangalie Yesu ,yeye ndio ataiangalia hiyo changamoto na kuin...
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
SOMO # 12 TUNAPOELEKEA KUUMALIZA MWAKA HUU 2022 KWA HIZI SIKU CHACHE ZILIZOBAKI NAOMBA UJITAFAKARI KWA UAMINIFU KUPITIA HAYA MAMBO NILIYOYAANDIKA. 1. Hebu fikiria umesafiri mara ngapi huu mwaka au toka umeanza kusafiri na miaka iliyopita Mungu amekuepusha na ajali ngapi hata zingine bila ya wewe kujua?Na mpaka sasa upo mzima hata kama ulishawahi kupata ajali. Je! Unajua Mungu anamakusudi gani na wewe katika maisha yako mpaka sasa upo mzima?. Je? Unafikiri amekuepusha na haya kwa ajili ya matendo yako ni mazuri sana au kuna kitu ulimpa ili akulinde?. TAMBUA KWAMBA HIYO NI NEEMA NA REHEMA ZA MUNGU KWAKO, USIJISIFU NI MUNGU ANAKUWAZIA MAWAZO YALIYO MEMA SIKU ZOTE WALA SIO MABAYA (Yeremi 29:11- Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho). 2. Hebu fikiria ulitegewa mitego mara ngapi (kwenye chakula, maji, njiani/barabarani,ofisini,biashara n.k) na adui hata bila ya wewe kujua na Mun...
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
SOMO # 11: MKARIBIE MUNGU NAYE ATAKUKARIBIA HUU MWAKA 2021 Yakobo 4:8 imeandikwa;- Mkaribieni Mungu naye atawakaribia. Itakaseni mikono yenu enyi wenye dhambi ,na kuisafisha mioyo yenu enyi wenye nia mbili. Mpendwa natumaini u mzima wa afya kabisa, na unaendelea vizuri na majukumu yako kama kawaida. Kabla sijaendelea naomba kukuuliza hili swali ndugu mpendwa unayesoma ujumbe huu. Je! Ni mambo ngani upo nayo karibu toka huu mwaka uanze?? Je! Ni Mazuri au Mabaya?? Mpendwa Mungu anatukumbusha siku hii ya leo tugeuke kwa kutoka kule ambapo tumekuwa karibu na Mambo mabaya ambayo yanatupekelea kubaya, kwa sababu mambo hayo yataharibu maisha yetu kabisa. Ukiwa karibu na Mungu siku zote naye atakuwa karibu na wewe kwa kila jambo ambalo utakuwa unalitenda , utakalolihitaji na hata kwa mambo utakayoyapitia yawe mabaya au mazuri lazima Mungu atakuwa pamoja na wewe. Mpendwa usiwe karibu na dhambi , itakupeleka pabaya 1. Usiwe karibu na Ulevi ,bali ...
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
SOMO #9: MAMBO MUHIMU YA KUYAFANYA KABLA YA KUINGIA MWAKA MPYA 2021. Mpendwa karibu ujifunze somo hili. 1. Mshukuru Mungu kwa yote aliyokutendea na ambayo hajayatenda huu mwaka 2020 1 Wathesalonike 5:18 imeandikwa;- Shukuruni kwa kila jambo ; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Yesu Kristo. 1 Mambo ya Nyakati 16:34 imeandikwa;- Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni za milele Zaburi 75:1 imeandikwa;- Ee Mungu twakushukuru ,twakushukuru kwa kuwa jina lako li karibu ,watu huyasimuliya matendo yako ya ajabu. Mpendwa, kwahiyo upate au usipate yote hayo ni mapenzi ya Mungu ,hivyo basi Mshukuru kwa vyote. Baadhi ya Mambo ya kushukuru mbele za Mungu ni kama yafuatayo;- i. Kuna mambo Mungu amefanikisha kukutendea ambayo yalikuwa yapo ndani ya malengo yako ya 2020 ii. ...
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine

SOMO # 8: USILAUMU SONGA MBELE MWAKA 2021 Mpendwa kwanza na kusalimu kwa Jina la Yesu Kristo. Kwanza ni jambo la kumshukuru Mungu sana kwa kutupa neema ya kuanza mwaka huu 2020 tukiwa wazima toka umeanza mwezi wa kwanza na sasa tupo mwezi wa 12 mwishoni kabisa , haijalishi uliweka MALENGO mengi kiasi gani mwaka huu, na mengine yametimia au hayajatimia mpaka muda huu unapoelekea mwisho wa mwaka au hukuweka Malengo kabisa,Mpendwa usilaumu wala usikate tamaa maana katika kitabu cha MHUBIRI 3:1 imeandikwa kwamba;- Kwa kila jambo kuna majira yake na wakati kwa kila kusudi chini ya Mbingu . Hivyo basi unapoona malengo yako hayajatimia jua kwamba wakati na majira yake utafika tu na malengo mpaka yatatima katika jina la Yesu Kristo. Mpendwa unaweza ukatafakari, kwa huu mwaka 2020 umefanya jambo gani la maana na unaweza usipate majibu, lakini nakutia moyo kwamba usijilaumu kwa kupoteza muda mpaka mwaka unaenda kuisha bado kuna vitu hujavifanya, lakini tamb...